Home Habari za Yanga FT: YANGA SC 2-0 US MONASTIR…CAFCC…BENJAMIN MKAPA…19.03.2023

FT: YANGA SC 2-0 US MONASTIR…CAFCC…BENJAMIN MKAPA…19.03.2023

LIVE UPDATES: YANGA SC VS US MONASTIR...CAFCC...BENJAMIN MKAPA...19.03.2023
[the_ad id="25893"]

Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC.

Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane.
Mimi na wenzangu tupo hapa kukupa updates kinachojiri kabla, wakati na baada ya mechi. Usiondoke

LIVE UPDATES: YANGA SC VS US MONASTIR…CAFCC…BENJAMIN MKAPA…19.03.2023

Mchezo umeanza licha ya mvua kubwa kinyesha Dar es Salaam
2′ Mayele anapiga shuti kali nje ya 18 kipa anapangua
5′ Yanga wanatawala mchezo
10′ Presha ni kubwa kwa wageni
16′ Djuma Shaban anapiga shuti kali nje ya 18 kipa anapangua inakuwa Kona
19′ Yanga wanapata Kona nyingine
20′ Monastir wanajaribu kujipanga lakini presha inakuwa kubwa kwao
Gooooooooooo
33′ Musonda anaipatia Yanga goli la Kwanza kwa kichwa
39′ Aucho anapata kadi ya njano kwa kucheza faulo

MUSONDA

45′ Mapumziko

Kipindi cha pili kimeanza
47′ Yanga wanagongeana karibu la lango la Monastir lakini mpira unatoka nje
55′ Gooooooooooo
Mayele anaipatia Yanga goli la pili kwa shuti kali
64′ Yanga wanaongeza presha kwa wapinzani
71′ Djuma Shaban wa Yanga anapewa kadi ya njano kwa kuchelewesha muda
83′ Presha ya mchezo imepungua kidogo
83′ Anatoka Mayele anaingia Clement Mzize
89′ Diarra anapata kadi ya njano kwa kuchelewesha muda
90′ Zinaongezwa dakika 4

Full Time

SOMA NA HII  SIMBA VIGEREGERE TU....WAFURAHIA KAPOMBE NA TSHABALALA KUTEMWA STARS...KWA MKAPA HATOKI MTU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here