Home Michezo MOHAMED HUSSEIN NA KIBU…WAPIGWA CHINI MECHI NA RAJA CASABLANCA

MOHAMED HUSSEIN NA KIBU…WAPIGWA CHINI MECHI NA RAJA CASABLANCA

MOHAMED HUSSEIN NA KIBU...WAPIGWA CHINI MECHI NA RAJA CASABLANCA

Mlinzi wa Simba, Mohammed Hussein ‘Zimbwe’ na Kibu Denis watakosa mechi ya mwisho ya Simba ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca ugenini.

Hatua hiyo imekuja baada ya kutimiza kadi ya pili ya njano kwa kila mmoja kwenye mechi ya Jumamosi waliyoibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Horoya.

Simba itakamilisha michezo ya hatua ya Makundi dhidi ya Raja Casablanca mchezo utakaopigwa Morocco.

SOMA NA HII  KUELEKEA KARIAKOO DABI....MANULA AIPASUA SIMBA...MABOSI WAHAHA KUFANYA JAMBO...