Home Michezo MFAHANU REFA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI AFRIKA…ANAYECHEZA MASHINDANO MAKUBWA

MFAHANU REFA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI AFRIKA…ANAYECHEZA MASHINDANO MAKUBWA

MFAHANU REFA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI AFRIKA...ANAYECHEZA MASHINDANO MAKUBWA
[the_ad id="25893"]

Mwamuzi Raphael Mbotela (18) amefuzu Mafunzo ya kuchezesha michezo ya ligi kuu ya nchini Zambia baada ya kumaliza kozi ya Uamuzi kwa mwaka 2022,

Sasa Raphael Mbotela anaenda kuwa ndio mwamuzi mwenye umri mdogo zaidi kuchezesha Ligi kuu ya Nchini Zambia,

Mwaka 2021 akiwa na umri wa miaka 16 alipata nafasi ya kuchezesha mchezo wa kirafiki kati ya Zesco na Forest Rangers,

mwaka huo huo 2021, Raphael Pia amewahi Kuchezesha Mchezo wa mashindano ya ligi za vijana (U-17) kati ya Botswana na Namibia, Katika Mchezo huo alikuwa kivutio kikubwa kwa kuumudu Mchezo na matukio yake pia.

SOMA NA HII  HASSAN DILUNGA HATARINI SIMBA...MUDA WOWOTE ANAWEZA KUONDOKA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here