Home Habari za michezo SABABU ZA KAPOMBE NA ZIMBWE KUTEMWA…KAPOMBE HANA SPIDI…ZIMBWE JR HANA UMAKINI

SABABU ZA KAPOMBE NA ZIMBWE KUTEMWA…KAPOMBE HANA SPIDI…ZIMBWE JR HANA UMAKINI

SABABU ZA KAPOMBE NA ZIMBWE KUTEMWA...KAPOMBE HANA SPIDI...ZIMBWE JR HANA UMAKINI

Kapombe na Zimbwe JR watemwa, Yanga imetoa wachezaji 7 dhidi ya 3 kutoka Simba   

Mtazamo: kwanini kapombe na zimbwe hawajaitwa?

1: Kapombe ni beki imara na yupo katika ubora Mzuri lakini  hana spidi katika kukaba kiasi Kwamba hutumia nguvu kubwa kukaba.

Kapombe Akikutana na wachezaji wepesi + speed huleta hatari ya  madhambi ambayo ni faida Kwa WAPINZANI ….mfano penalty

Reference
Rejea mechi ya Azam Kipre junior alichomfanyia Kapombe, mikimbio ilimtesa  nusura kupewa red card na kusababisa penalty….

Nafikiri Mwalimu Wa Taifa Stars Amelitazama hili

Zimbwe junior

Zimbe jr ni Mchezaji mzuri na ni nguzo imara japokuwa anaendelea kujifunza kwenye hii modern football Kwani bado anapungukiwa na vitu vichache mfano ball accuracy NA Umakini .. .hasa  anapokutana na wachezaji wanaotumia ubunifu mkubwa zaidi

Reference
Mechi ya Simba na Yanga

SOMA NA HII  SAA CHACHE KABLA YA NGAO YA JAMII LEO...RAGE AGEUKIA UCHAMBUZI WA SOKA....AANIKA YA SIMBA NA YANGA....