SAMATTA ATAMBA KRC GENK...ANAKIWASHA BALAA...MAGOLI NA PASI USISEME
Michezo

SAMATTA ATAMBA KRC GENK…ANAKIWASHA BALAA…MAGOLI NA PASI USISEME

Marce Ben Komba March 19, 2023 1:31 pm

Straika wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameendelea kuwa mchezaji muhimu katika Timu yake ya Genk siku za hivi karibuni na hii ni baada ya kutoa pasi ya bao iloyowafanya kupata sare dhidi ya Cercle Brugge siku ya Ijumaa.

Sare hiyo inaendelea kuwabakisha Genk kileleni wakiwa na alama zao 68 baada ya Michezo 30.

Na hizi ndizo Takwimu za Mbwana Samatta katika michezo 4 iliyopita ya Jupiler pro league

Michezo 4
Mabao 3
Pasi za mabao 1
Takwimu zake katika Jupiler pro league msimu huu hadi sasa
Michezo 24
Ameanza michezo 7
Dakika alizocheza 961
Mabao 4

Pasi za mabao 1
Ana wastani wa kufunga bao kwa kila dakika 240

MFAHANU REFA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI AFRIKA…ANAYECHEZA MASHINDANO MAKUBWA PRINCE DUBE NI HATARI…UJANJA WAKE NDANI YA 18

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply