Habari za Simba
Habari za michezo

HIKI HAPA KILICHOWAPONZA SIMBA…MECHI DHIDI YA RAJA CASABLANCA

Marce Ben Komba April 4, 2023 8:56 am

Mchezo wa juzi Jumamosi, dhidi ya Raja Casablanca, Simba kuna kitu walijaribu kukionyesha lakini changamoto kwao ni makosa yaliyofanyika kwenye safu ya ulinzi.

Pindi unapokutana na timu kubwa kama Raja Casablanca yenye wachezaji wakubwa kama wakina Amza Khaba lazima watatumia makosa yakoo kwa ufasaha watafunga mabao.

Simba SC wanaelekea hatua ya robo fainali hatua ambayo unakutana na timu nyinga zenye uwezo kama Raja ama zaidi ukifanya makosa kama yale utakuwa unajiweka kwenye wakati mgumu.

Mwalimu Robertinho anatakiwa kuja na mpango wa muda mfupi kuiandaa timu yake kwenye michezo mikubwa inayofwata ajaribu kuangalia namna ambavyo safu ya ulinzi inaweza kupunguza makosa.

Pia anatakiwa kuwa na mpango wa muda mrefu kwa maana ya kuanza kufwatilia mchezaji mwenye uwezo mkubwa na ataongeza nguvu kwenye safu ya ulinzi.

RAGE AMPIGA TWISHENI KOCHA SIMBA…AWAFUNDISHA WACHEZAJI NA MAKOCHA… ISHU NZIMA IKO HIVI BAADA YA KUMALIZANA NA CAF….MBRAZILI SIMBA AWAGEUKIA YANGA…HUO MKWARA WAKE USIPIME AISEE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply