Habari za Simba
Habari za michezo

MO DEWJI AZIDI KUFUNGUKA SIMBA…ATAJA WANAOWAPA RUSHWA WACHEZAJI ILI TIMU IFUNGWE…

admin April 5, 2023 9:12 pm

Katika muendelezo wa Mahojiano ya Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mohammed Dewji na Global TV sehemu ya tano, Mwekezaji huyo ameibua suala jipya la rushwa klabuni hapo.

Mo Dewji anasema Rushwa ya aina yoyote itaua mpira wa Tanzania au kuua mpira wa Afrika Rushwa itakupa mafanikio kwenye Short term gains laki Long gains hutoweza kufanikiwa.

“Sikubaliani na rushwa ya aina yoyote, lakini nasikia Kuna kampuni zingine au Kuna watu ambao wameingia kwenye betting baadae wana beti alafu wanawatafuta wachezaji wanawaambia fungisheni Timu mpewe hela.

“Hili jambo mimi silipendi, nmeanza kuweka mfumo wa Ki-intelligence ndani ya simba, haiwezekani sisi tunahangaika kuifanikisha Simba isonge mbele alafu kuna mtu/watu ambao kwa namna moja ama nyingine wamehusika kuifungisha Simba kwa ajili ya Rushwa, hawa watu watachukuliwa hatua.”

KUELEKEA MECHI NA YANGA…..MBRAZILI SIMBA AINGIA KITETE NA ‘MTETEMO’ WA MAYELE…ONA ALICHOSEMA😂😂😂… SELELEKA NA MAMILIONI YA MERIDIANBET KUPITIA KASINO YA KIBABE YA MTANDANO YA VENI VIDI VICI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply