Duka hilo ambalo limezinduliwa mtaa wa Jamhuri Posta ni moja kati ya maduka ambayo yatakuwa na huduma bora kabisa huku kukiwa na mashine 40 za sloti ambazo zimesambazwa kwenye maduka takribani yote ambazo ni aina ya IMPERA, IGT.
Martina Nkurlu ambaye ni mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano ndani ya Meridianbet amesema kuwa wanataka kuendelea kuwavuta watu wengi zaidi hapa Tanzania kutumia Meridianbet kwenye shughuli zao za ubashiri kwani wao ni bora kwenye kila idara kuanzia kwenye ODDS KUBWA mpaka machaguo zaidi ya 1000.