Habari za Simba
Habari za michezo

KISA KUFUNGA GOLI 3 JANA….AHMED ALLY AMTUPIA KIJEMBE HIKI AZIZI KI…

admin April 12, 2023 6:10 pm

Joto la Derby ya Kariakoo linazidi kufukuta hasa kutokana na matokeo murua yaliopatikana kwa timu hizo mbili za Simba na Yanga.

Vijembe navyo vikichagiza hamu ya kuushuhudia mchezo wenyewe Aprili 16.

Baada ya hat-trick ya Aziz Ki hapo jana dhidi ya Kagera Sugar Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally ametupa dongo gizani kwa kudai kwao idadi ya magoli hayo matatu hayapatikani kwa mikwaju ya penati.

Kauli hiyo ni kama amemlenga Aziz Ki ambaye hapo jana aliondoka na mpira baada ya kufunga magoli matatu na kati ya hayo mawili yakiwa ni kwanjia ya penati.

KOCHA SIMBA SC AWAPUUZA WYDAD CA…”NAWAJUA HAWASUMBUI…AMEZUNGUMZA HAYA HATIMAYE YANGA WAFUNGUKA…ISHU YA FEISAL SALUM “FEI TOTO”…WAMEZUNGUMZA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply