Habari za Simba
Habari za michezo

NTIBANZOKIZA AMBURUZA MAYELE….SIMBA NA YANGA ZAPASUKA KICHWA

Marce Ben Komba April 13, 2023 8:06 am

Kiungo Mrundi wa Simba SC, Saido Ntibanzokiza ndiye mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi zaidi katika msimu huu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara hadi sasa.

Ntibanzokiza ambaye Simba ni klabu yake ya tatu nchini baada ya Yanga na Geita Gold – amehusika katika jumla ya mabao 19,
akifuatiwa na mshambuliaji Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele mabao 18.

Straika mpya ndani ya kikosi cha Simba ndiye anayeibwa hivi sasa lakini takwimu hasa zinambeba Saido Ntibazonkiza.

CAF WAINGILIA KATI DILI LA MBRAZILI WA SINGIDA BIG STARS KUTUA YANGA…ISHU NZIMA IKO HIVI… AZIZ KI AWEKA REKODI MPYA YANGA…CHAMA AANGUKIA PUA SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply