Habari za Simba
Habari za michezo

KUHUSU ONYANGO KUCHEZA MECHI NA YANGA KESHO KUTWA…EDO KUMWEMBE AIBUKA NA HILI JIPYA…

admin April 14, 2023 7:01 pm

Wakati wengi wakionekana kuwa na mashaka na kiwango cha Beki Mkenya Joash Onyango kuelekea mchezo wa Dabi ya Kariakoo Aprili 16.

Mchambuzi kutoka Wasafi Fm Edo Kumwembe amesema makosa aliyoyafanya Onyango kwenye mechi za kimataifa hayawezi kumfanya akose nafasi kwenye mechi ya Kariakoo Derby kwa sababu makosa hayo aliyafanya wakati akiwa kwenye Timu zenye kiwango kikubwa.

“Onyango tumuache kwenye hayo makosa kwa sababu yalikuwa ni kwenye Top Level ni Against Raja mjue, Raja sio Yanga asikudanyanye mtu, wanaweza kuwa wazuri lakini Raja sio yanga.

“Kwani Onyango si anacheza kila siku hayo makosa kafanya? Onyango kamdhibiti Mayele mara ngapi ?, si tulikuwa tunamsifu hapa kwa kumdhibiti Mayele,”

Simba wataikaribisha Yanga katika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili mchezo wa mzunguko wa pili Ligi Kuu ya NBC.

YANGA:- TUMEPOKEA OFA TATU ZA KUMUUZA FEI TOTO….TUMEWAAMBIA MCHEZAJI HATUKO NAYE… IMEVUJA RASMI…BALEKE ANA MKATABA HALALI NA TP MAZEMBE…SIKU ZAKE ZINAHESABIKA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply