MSEMAJI SIMBA AINGIA MATATANI..."YANGA NI KAMA MAITI TU WANAKUJA TUWAKAMUE
Habari za michezo

MSEMAJI SIMBA AINGIA MATATANI…”YANGA NI KAMA MAITI TU WANAKUJA TUWAKAMUE

Marce Ben Komba April 15, 2023 9:06 am

Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake aliyoitoa dhidi ya Yanga kuelekea mchezo wa Dabi Jumapili hii.
Katika mazungumzo na Wanahabari Ahmed alisema;

“Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua” kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.

Miongoni mwa wachambuzi waliotoa maoni yao ni mchambuzi wa kituo cha Efm na TV E, Geoff Lea ambae ameonekana kutofurahishwa na kauli hiyo.

AISEE!! NABI AZINYAKA SIRI ZA INONGA…AWAKABIDHI MAYELE NA MUSONDA…ISHU NZIMA HII HAPA A-Z KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA YANGA…HUU HAPA UDHAIFU WA WATANI WA JADI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply