Habari za michezo
IFANYE SIKUKUU YAKO YA IDDI KUWA ‘BAB KUBWA’ NA MIL 650 KUTOKA MERIDINABET….ZINGATIA HAYA…
admin
April 18, 2023
5:21 pm
Siku zote kwenye Maisha unaambiwa usipende sana kuomba hela ya kula bali omba kazi, huwa iko hivi hata uchawa una mwisho wake kama huwezi kujishughulisha na kufanya kazi. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet imekuja na promosheni kabambe itakayokupatia hela kirahisi kwa dau dogo sana.
Mashindano haya yatadumu kwa mwaka mzima yaani siku 336 ambapo Sloti ya Drop & Wins imeanza tangu Aprili 5 na itadumu mpaka Machi 2024, jumla ya kiasi cha Tsh Milioni 90,000,000/= kutolewa bila mpamgilio kila siku.
Jisajili Shindano la Awamu ya Kwanza
Awamu ya kwanza ya shindano hili la Drop & Wins itakuwa kwa wiki 4, ambapo kasino ya mtandaoni ya Meridianbet itakupatia mkwanja muda wote huo kuanzia Aprili 5 mpaka Mei 3 2023 utakapokuwa unacheza michezo ya sloti ya kasino ya mtandaoni.
Vigezo vya kuorodheshwa nafasi za juu.
Ushindi mkubwa na wa kipekee kulinganisha na dau kubwa. Kiwango kikubwa cha ushindi wa kipekee kulinganisha na dau, juu ya mstari wa chini.
Jumla ya zawadi katika awamu zote ni TZS 650,000,000, zikigawanywa mara 12,000 kwenye pesa taslimu na mizunguko ya bure.
Drops & Wins ni shindano la Kasino ya mtandaoni na litapatikana kwenye maeneo yote ya Meridian na Meridianbet. Jiunge sasa kupitia www.meridianbet.co.tz ukausake utajiri.
NB: Meridianbet wana haki ya kubadili au kusitisha promosheni wakati wowote.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.