Home Habari za michezo KISA NABI KUMPONDA MWAMUZI MECHI YA SIMBA SC vs YANGA …AHMED ALLY...

KISA NABI KUMPONDA MWAMUZI MECHI YA SIMBA SC vs YANGA …AHMED ALLY AMTAKA SHEIKH KISHK AWE REFA…..

Habari za Simba SC

Baada ya Kocha wa Yanga kupokea kichapo Dabi ya Kariakoo na kuwashushia lawama waamuzi wa mchezo.

Hii leo Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC ametoa neno kwa kauli ya kocha huyo wa Yanga.

Akizungumza Ahmed Ally amesema

“Kocha wao amesema mechi ijayo achezeshe Refa mwenye hofu ya Mungu, Sawa hakuna shida atachezesh Sheikh Nurudin Kishk” alitamba Ahmed

Itakumbukwa kuwa siku ya Jumapilil, Simba SC waliibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Yanga katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Katika mchezo huo uliokuwa wa kukata na shoka, magoli yalifungwa na Inonga na Kibu Denis katika kipindi cha kwanza cha mchezo.

 

SOMA NA HII  KWA MPANGO HUU WA YANGA....MECHI IJAYO 'LITAKUFA JITU' AISEE...NABI AMVUTA 'CHOBINGO' AZIZ KI...