Ramos aposti wimbo wa Staa wa Bongo Fleva mavokali
Burudani

HUYU HAPA STAA WA BONGO FLEVA ALIYEPEWA SHAVU NA SERGIO RAMOS WA PSG….

admin April 19, 2023 7:03 pm

Mchezaji wa Klabu ya Psg, Sergio Ramos, ametumia wimbo wa Commando wa msanii Bongo Fleva, Mavokali, kwenye ‘Insta Story’ yake.

Ramos, ameposti picha hiyo akiwa na wenzake Carlos Regli na Manuel Jara.

Wimbo wa Mavokali, Commando ulitoka rasmi 28 Sept 2022 na video ya ngoma hiyo ina zaidi ya watazamaji milioni 15 kwenye mtandao wa Youtube.

Hii ni mara nyingine tena staa mkubwa wa soka kupost wimbo wa staa wa kibongo, ambapo hivi karibuni Real Madrid walipost wimbo wa Rayvanny katika kumtakia kheri ya kuzaliw staa wake Karim Benzema.

KUHUSU ISHU YA KANOUTE….SIMBA SC WAVUNJA UKIMYA KUHUSU YANAYOENDELEA JUU YAKE… KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA WAMOROCCO…MSUVA AWAFANYIA KITU MBAYA WYDAD…AANIKA SIRI ZAO ZOTE..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply