ALI KAMWE LOLOTE LITAFANYIKA MWARABU AFE...TUNGULI RUKSA...DUA RUKSA
Habari za michezo

“KUNA WATU WAMEWEKEZA PESA WANA…MICHAMBO,MASIMANGO NA MINUNO”…ALLY KAMWE

Marce Ben Komba April 27, 2023 9:19 am

Zikiwa zemesalia siku chache ambapo Klabu ya Yanga itakutana na Rivers United kutokea nchini Nigeria katika mechi ya marudiano Kombe la Shirikisho CAF,

Afisa habari wa klabu hio amwaga tambo zake kuwahakikishia wadau na mashabiki wa timu hio uhakika wa kutinga hatua ya Nusu Fainali.

Mechi hiyo Yanga atakuwa mwenyeji wa mchezo akimualika Rivers United kwenye Dimba la Mkapa, Jumapili, Aprili 30, 2023.

“Ghalib ni Bilionea ambaye amewekeza kwa muda mfupi na timu inakaribia kwenda nusu fainali, kuna watu wamewekeza pesa, masimango, vichambo, minuno na kila aina ya gubu na wanaishia robo fainali,” amesema Ally Kamwe.

IMEFICHUKA!!!….MAYELE KUTWAA KIATU CHA DHAHABU…KOMBE LA SHIRIKISHO KOCHA SIMBA AVUNJA UKIMYA…CHAMA,BALEKE NA TSHABALALA WATAJWA…AFUNGUKA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply