Tetesi za Usajili Yanga
Habari za michezo

IMEFICHUKA!!!….MAYELE KUTWAA KIATU CHA DHAHABU…KOMBE LA SHIRIKISHO

Marce Ben Komba April 27, 2023 9:12 am

Afisa Habarai wa Klabu ya Yanga, Alikamwe amesema kuwa
Mshambuliaji wa timu hiyo Fiston Mayele amewaambia wachezaji wenzake wamsaidie kupata kiatu cha dhahabu cha ufungaji bora wa Kombe la Shirikisho.

“Fiston Mayele ana goli tano (5) Kombe la Shirikisho Afrika, akiwa kwenye chumba cha kubadilishia nguo amewaambia wachezaji wenzake, kwa mara ya kwanza na ninyi mkanisaidie kiatu cha Ufungaji Bora.

Kamwe ameongeza “Fiston amewataka wenzake sasa wamsaidie ndiyo maana ‘assists’ zinaanzia nyuma, usishangae na kipa Diarra na yeye akapanda kwenda kumtengenezea Mayele,” amesema Ally Kamwe

Yanga itakutana na Rivers United kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika mchezo wa pili siku ya Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakiwa na faida ya goli 2-0 walizopata Nigeria.

VINICIUS JR AITWA NYANI MECHI NA GIRONA…UBAGUZI WAENDELEA KWA KASI “KUNA WATU WAMEWEKEZA PESA WANA…MICHAMBO,MASIMANGO NA MINUNO”…ALLY KAMWE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply