VINICIUS JR AITWA NYANI MECHI NA GIRONA...UBAGUZI WAENDELEA KWA KASI
Habari za michezo

VINICIUS JR AITWA NYANI MECHI NA GIRONA…UBAGUZI WAENDELEA KWA KASI

Marce Ben Komba April 27, 2023 9:04 am

Vinicius Jr alifanyiwa ubaguzi wa rangi tena nchini Spain wakati wa mtanange wa ligi kuu kati ya Girona dhidi ya Real Madrid mashabiki wa Girona walikua wakiimba neno “EL MONO” wakimaanisha
“Nyani” kwa Mbrazil huyo wakati alipokuwa anapewa kadi baada kucheza faulo.

Mara kadhaa kumeripotiwa matukio ya ubaguzi dhidi ya Raia huyo wa Brazil katika Ligi ya Hispania.

Katika mchezo huo Real Madrid walikubali kichapo cha magoli 2-0.

MMH HUYU HAALAND NI JINI AU MTU?….MANCHESTER CITY VS ARSENAL IMEFICHUKA!!!….MAYELE KUTWAA KIATU CHA DHAHABU…KOMBE LA SHIRIKISHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply