Home Habari za michezo WYDAD WAJIPANGA KUISHAMBULIA SIMBA KWA KASI…KOCHA ACHEZE NA PLAN B

WYDAD WAJIPANGA KUISHAMBULIA SIMBA KWA KASI…KOCHA ACHEZE NA PLAN B

HATIMAYE SIMBA...YAPATA MRITHI HUYU WA TSHABALALA...ATOBOA SIRI NZITO

Dakika 90 zitaamua safari ya Simba Ligi ya Mabingwa msimu huu, aidha inasonga ama inarudi nyumbani kujipanga kwa msimu ujao.

Wengi tunatarajia kumuona Simba akifuzu lakini kutakuwa na mtihani kwa timu ya Wydad kwa sababu wao wanaenda kushambulia kwa kasi na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga pia watawalazimisha timu nzima ya Simba wachezaji kama wao.

Katika dakika za mwanzoni kabisa Simba nao wanaenda kujilinda na kushambulia kwa Tahadhari zaidi ni mambo mengi kadhaa tutayaona katika mchezo wa leo kutoka katika timu hizi mbili.

Mpaka sasa bado ni 50/50 na matokeo yoyote ni sehemu ya mashindano Simba asiende na Plan A’ pekee bali atumie

Performance nzuri za wachezaji wake katika kushambulia na kuzuia na wasije wakalazimishwa kuzuia bila kushambulia hili litawaletea madhara makubwa sana.

Kukosekana kwa Mlinda mlango mwenye uzoefu Aishi Manula ni pigo kubwa kwa timu na Kanoute naye ni 50/50 kuanza mechi au laa hapa kwa jicho la tatu naona Simba akitoka akiwa anachechemea.

SOMA NA HII  KOCHA MKONGO ATOA NENO KUIHUSU SIMBA