Home Habari za michezo NTIBANZOKIZA AMBURUZA MAYELE….SIMBA NA YANGA ZAPASUKA KICHWA

NTIBANZOKIZA AMBURUZA MAYELE….SIMBA NA YANGA ZAPASUKA KICHWA

Habari za Simba

Kiungo Mrundi wa Simba SC, Saido Ntibanzokiza ndiye mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi zaidi katika msimu huu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara hadi sasa.

Ntibanzokiza ambaye Simba ni klabu yake ya tatu nchini baada ya Yanga na Geita Gold – amehusika katika jumla ya mabao 19,
akifuatiwa na mshambuliaji Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele mabao 18.

Straika mpya ndani ya kikosi cha Simba ndiye anayeibwa hivi sasa lakini takwimu hasa zinambeba Saido Ntibazonkiza.

SOMA NA HII  KIEMBA AFUNGUKA KILICHOWAPONZA SIMBA