Tetesi za Usajili Bongo
Habari za michezo

MASHINE YA KAZI HII HAPA….MABOSI SIMBA NA YANGA WAVIZIANA AIRPORT…

admin May 26, 2023 8:42 pm

Beki wa Kati wa Kabwe Warrior ya Zambia, Marcel Kalonda raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anahusishwa na klabu zenye misuli ya kiuchumi Tanzania [Singida Big Star, Simba, Yanga na Azam FC].

Baada ya kuonesha kiwango kikubwa kwenye Ligi ya Zambia kwa kutwaa mataji manne ya Ligi hiyo akiwa na Zesco United ikiwa ni pamoja na kucheza Robo Fainali mbili mfululizo za Ligi ya Mabingwa Afrika [2018|19 na 2019|20].

Wakati msimu unaelekea mwishoni, tayari baadhi ya klabu zimeanza mipango ya kuimarisha vikosi vyao baada ya kuona mapungufu yakiyojitokeza kipindi chote cha msimu huu.

Endapo Marcel Kalonda atafanikiwa kutua Tanzania ataungana na wachezaji wengi raia wa DR Congo wanaocheza Ligi Kuu na Ligi ya Championship.

KUELEKEA MECHI YA FAINAL YA CAF …KAMBI YA YANGA YALINDWA KAMA IKULU…NZI HAKATIZI AISEE.. ZA NDAANI KABISAA…MASHINE HII YA MAGOLI YANUKIA MSIMBAZI…MABOSI SIMBA WAMWAGA PESA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply