Habari za Yanga
Habari za michezo

WAARABU WAPANGA KUIFUNGA YANGA SC KISTARABU KESHO…KOCHA WAO AANZA NGEBE…

admin May 27, 2023 4:57 pm

Wakati Yanga SC wakijiandaa kuwavaa USM Algiers kutoka Algeria kwa mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho katika Uwanja wa Mkapa kesho Jumapili.

Kocha wa USM Algiers amesifu uungwana wa wenyeji wao na kusema kuwa hata ushindi wao kesho utakuwa wa kistaarabu.

“Tunataka kuwafunga Yanga SC kistaarabu kama ambavyo wametupokea kistaarabu hawajatufanyia Fujo kama ambavyo waliwafanyia Wengine walipokuja Hapa, kusema ukweli wametupa heshima so hatutaki kuondoa heshima hiyo kwa kuwafunga magoli mengi tunataka kuwafunga magoli mawili tu kistaarabu”

Mei 28 Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho itapigwa Jijini Dar kisha mchezo wa mkondo wa pili utapigwa Juni 3.

KUHUSU MATUSI YA KAMWE MGUNDA JANA….ALIYEMTUMA AHOJIWA…NI CEO AU ENG HERS..? MASTAA YANGA KULAMBA POSHO ZA KIMADRID WAKIBEBA UBINGWA WA CAF…KAZI INAANZA KESHO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply