Habari za michezo

YANGA HAIBOI, HAIPOI, YATAMBULISHA BEKI MPYA KUTOKA ASEC MIMOSAS

Staff Desk July 15, 2023 4:51 am

KLABU ya Yanga imemtambulisha beki wa kulia, Kouassi Attohoula Yao (26) kuwa mchezaji wake mpya wa tano kutoka ASEC Mimosas ya kwao, Ivory Coast.

Wachezaji wengine wapya wa kigeni Yanga ni winga Maxi Mpia Nzengeli kutoka Maniema ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na beki wa kati Gift Freddy kutoka SC Villa ya kwao, Uganda.

Yanga pia imesajili wazawa wawili, beki wa kushoto Nickson Kibabage kutoka Singida Fountain Gate na kiungo Jonás Mkude kutoka kwa mahasimu, Simba SC.

HUKO SIMBA… UGALI MOTO MBOGA MOTO , LUIS NI RASMI AOMBA SIKU SITA UTURUKI, CHAMA AITWA MEZANI, SAKHO KUSEPA WAKATI SIMBA , YANGA WAKIENDELEA KUTANGAZA WACHEZAJI WAKE WAPYA…. WASENEGAL WA AZAM WATAMBA TUNISIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply