◉ 2019/20 — Alikuwa kocha msaidizi Wydad Casablanca chini ya kocha mkuu.
◉ 10 Sept 2020 — Aliteuliwa kuwa kocha mkuu Wydad. Aliiongoza Wydad akiwa kocha mkuu wa muda kwa siku (46), kutoka 10 September hadi 26 October 2020.
◉ 01 Nov 2020 — Aliajiriwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Association Sportive de Sale (AS Sale) ya Nchini Morocco. Aliitumikia hadi 9 July 2021.
◉ Akarejea nyumbani Senegal kupumzika. 2021/22 aliteuliwa kuwa mshauri kwenye technical Bench katika timu ya taifa ya Senegal chini ya kocha mkuu Cisse.