Habari za Yanga
Habari za michezo

HIKI HAPA KIKOSI KIPYA CHA YANGA MSIMU WA 2023/2024

Staff Desk July 23, 2023 10:49 am

NYOTA watatu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), beki Djuma Shabani, kiungo Yanick Bangala na Fiston Kalala Mayele historia yao imefungwa Yanga baada ya misimu miwili.

Wachezaji hao na beki Mmali, Mamadou Doumbia hawajatambulishwa kama sehemu ya kikosi cha Yanga cha msimu mpya kwenye Siku ya Mwananchi jioni hii klabu hiyo ikimenyana na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mayele anahusishwa na kuhamia Pyramids ya Misri, wakati Djuma Shabani na Bangala wanaweza kurejea klabu za kwao, TP Mazembe ya Lubumbashi na AS Vita ya Kinshasa.

Kikosi kipya cha yanga

Hiki ndio kikosi kizima kipya cha Yanga msimu wa 2023-2024

MSHAHARA WA LUIS MIQUISSONE HAPO SIMBA NI KUFURU MRITHI WA MKUDE SIMBA SC, ATUPA JIWE GIZANI AKIWALENGA YANAGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply