Habari za michezo

MAAJABU YA GUU LA KUSHOTO LA AZIZ KI SI POA

Staff Desk July 28, 2023 9:01 am

MGUU wenye nguvu kwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI ni ule wa kushoto unaompa maujanja ya kuwapa maumivu makipa ndani ya Ligi Kuu Bara.

Msimu wa 2022/23 ameutumia kufunga mabao 9 kwenye ligi ndani ya Yanga na kutoa pasi tano za mabao.

Timu yake ya kwanza kuifunga ilikuwa ni Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa ligi.

Katika mchezo huo Aziz KI alitokea benchi alipotambulishwa na Nasreddine Nabi aliyekuwa kocha wa Yanga.

Mbali na kuifunga Mtibwa Sugar Aziz KI bao moja aliwatungua watani zake wa jadi Simba kwenye mchezo wa ligi.

Ni pigo huru maeneo ambayo Bernard Morrison alipokuwa ndani ya Yanga aliwahi kumtungua Aishi Manula naye akarudia kwa kipa yuleyule namba moja wa Simba.

MPYA YAIBUKA KIBEGI CHA SIMBA, WADAU WADAI KIPELEKWE MAKUMBUSHO….. ISHU NZIMA IKO HIVI LUIS MIQUISSONE ATINGA UTURUKI KIBABE AKUTANA NA WAMBA HAWA, HATARI TUPU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply