Home Habari za michezo MFAHAMU MRITHI WA KAZE NDANI YA YANGA….JAMAA NI MAFIA KWA WAARABU…WYDAD WANAIJUA...

MFAHAMU MRITHI WA KAZE NDANI YA YANGA….JAMAA NI MAFIA KWA WAARABU…WYDAD WANAIJUA KAZI YAKE…

Kocha Msaidizi Yanga SC

Anaitwa Moussa N’Daw ni mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Wydad Casablanca, timu ya taifa ya Senegal na kocha msaidizi Wydad Casablanca na nyingine.

◉ Name — Moussa Ndao ◉ Citizenship — Senegal ◉ Born — 16 July 1968 (54)

Baadhi ya watu wanadai kuwa huyu kocha mpya msaidizi wa Yanga mara ya mwisho kufundisha ni — 2016.

Muossa N’daw sio tu alikuwa kocha msaidizi Wydad, pia aliwahi kuwa kocha mkuu Wydad Casablanca (2019/20).

◉ 2011/14 — Aliajiriwa kwenye technical Bench Wydad Casablanca. Kisha 2015/19 Alikuwa kocha msaidizi chini ya makocha mbalimbali kama ifuatavyo;

Faouzi Benzarti Sebastien Desabre Zoran Manojlovic

◉ 2019/20 — Alikuwa kocha msaidizi Wydad Casablanca chini ya kocha mkuu.

◉ 10 Sept 2020 — Aliteuliwa kuwa kocha mkuu Wydad. Aliiongoza Wydad akiwa kocha mkuu wa muda kwa siku (46), kutoka 10 September hadi 26 October 2020.

◉ 01 Nov 2020 — Aliajiriwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Association Sportive de Sale (AS Sale) ya Nchini Morocco. Aliitumikia hadi 9 July 2021.

◉ Akarejea nyumbani Senegal kupumzika. 2021/22 aliteuliwa kuwa mshauri kwenye technical Bench katika timu ya taifa ya Senegal chini ya kocha mkuu Cisse.

Klabu alizochezea; ◉ ASC Jeanne d’Arc — 1987/89 ◉ Wydad Casablanca — 1989/93 ◉ Al Hilal — 1993/94 ◉ Farense — 1994/99 ◉ Ettifaq — 1999/00

Timu ya taifa ◉ Senegal — 1987/94

Klabu alizofundisha / benchi la ufundi

◉ ASC Jeanne — H. coach (2011) ◉ Wydad — Technical bench (11/14) ◉ Wydad — Assistant (14/16) ◉ SCCM — Coach (2016/20)

Ligi kuu Morocco Runner-up

CAF super cup CAF super cup runner-up.

SOMA NA HII  MANULA, KRAMO NJE YA DIMBA SIMBA vs AL AHLY