Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe
Habari za michezo

YANGA WAJA NA JIPYA KUHUSU MSIMU WA 2022/23 ISHU IKO HIVI

Staff Desk August 3, 2023 5:42 pm

KLABU ya Yanga Agosti 7 anatarajiwa kuzindua Documentary ya msimu wa kihistoria 2022/23, Dar es Salaam.

Afisa Habari Yanga Ally Kamwe amesema hayo Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa habari.

“Documentary hii iliyotengenezwa kwa utaalamu mkubwa na yenye hadhi ya kuonyeshwa sinema inakwenda kuwaonyesha wanachama na mashabiki wetu maudhui mengi na makubwa ambayo hauwezi kuyapata sehemu yoyote yaliyoiwezesha Klabu yetu kuwa na msimu wa mafanikio na wa kihistoria”

Kamwe amesema Documentary hiyo ni sehemu ya kwanza kwani Yanga itakuja na mradi mkubwa wa historia ya Klabu toka kuanzishwa kwake, kwa kuandikwa kitabu cha historia ya timu hiyo na kuwashirikisha waandishi nguli nchini.

HUKO SIMBA MAMBO NI MOTO, KIPA MPYA HUYU HAPA KUTUA KABLA YA SIMBA DAY GAMONDI AWAGOMEA MABOSI WA YANGA, MECHI DHIDI YA AS VITA, SASA YANGA KUKIPIGA NA TIMU HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply