Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mrundi Fiston Abdulrazack amejiunga na klabu ya Sofapaka fc ya Kenya kwa mara nyingine akitokea uarabuni.
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mrundi Fiston Abdulrazack amejiunga na klabu ya Sofapaka fc ya Kenya kwa mara nyingine akitokea uarabuni. Akizungumza mara baada ya utambulisho wake Fiston amesema amekata ofa kadhaa kutoka vilabu vya Uarabuni kama Saudia, Kuwait na Lebanon ili kutua Sofapaka
SOMA NA HII HITIMANA: NIMEWATENGENEZA UPYA MKUDE NA AJIB...AFUNGUKA ALIVYOKATAA UKOCHA MKUU SIMBA...