Yanga SC na Simba SC
Habari za michezo

MCHAMBUZI: SIMBA IMEBEBWA NA YANGA KIMATAIFA….

admin August 9, 2023 9:01 pm

Wakati Simba ikiwa inafanya makubwa katika michuano ya CAF barani Afrika ikiwemo kushiriki Michuano ya African Super Cup (African Football League).

Mchambuzi wa Michezo kutoka Clouds Media Master Tindwa ameyatazama mafanikio hayo ya Simba kuwa yamebebwa zaidi na Klabu ya Yanga.

Akifafanua hilo Master Tindwa anasema;

“ Haina haja ya kung’ata maneno Yanga ndio klabu kubwa Tanzania, ki-umri hata mataji. Simba ni wakubwa nje hasa kwa kipindi hiki cha miaka 5 iliyopita, hata kucheza Super league hawachezi kwa bahati mbaya, ”

“ Mi nadhani Simba wamenufaika kupitia Yanga, wameitumia kama Case study kwenye tamasha lililopipa wakafanyia kazi pale Yanga walipokosea ndio maana unaona watu wengi wamejitokeza kununua tiketi.. Lakini tukumbuke kuna maisha baada ya matamasha, ”

BAADA YA MAYELE KUSEPA ZAKE YANGA….MZIZE NAYE ATAKA KULIANZISHA… PAMOJA NA UWEPO WA SIMBA NA YANGA….HUYU HAPA MTZ ALIYEKULA SHAVU TIMU YA SAUZI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply