Habari za Yanga SC
Habari za michezo

BAADA YA MAYELE KUSEPA ZAKE YANGA….MZIZE NAYE ATAKA KULIANZISHA…

admin August 9, 2023 8:53 pm

Mshambuliaji chipukizi wa klabu ya Yanga Waridi mzize amesema anataka kuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania bara.

Pengine huu unaweza kuwa wakati wa Mzize kupata nafasi hasa baada ya kuondoka Mshambuliaji hatari Fiston Mayele.

Akizungumzia dhamira yake Mzize anasema;

“siku zote mshambuliaji hapimwi kwa jambo lolote lile uwanjani zaidi ya kufunga, mshambuliaji akifunga ndio unakuwa umetimiza jukumu lako la msingi uwanjani, binafsi nataka msimu ujao niwepo kwenye orodha ya wafungaji hayo ndio malengo yangu ambayo nina deni kubwa kuyatimiza maana mshambuliaji anapimwa kwa kufunga na mimi nataka kufunga”

KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI…MBRAZILI SIMBA AANZA ‘KUJITWIKA MABOMU YA MAPEMA’…. MCHAMBUZI: SIMBA IMEBEBWA NA YANGA KIMATAIFA….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply