Habari za Michezo
Azam FC

MAYELE ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA AZAM KUPOKEA KIPIGO DHIDI YA YANGA

Staff Desk August 10, 2023 10:59 am

Aliekuwa mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ambae kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Pyramids FC ya nchini Misri amewapiga kijembe Azam baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Yanga jana Agosti 9 Uwanja wa Mkwakwani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Mayele ameposti Picha akiwa GYym anafanya mazoezi na kuandika;

“hakuna kupowa sio Kama wale ukwaju”

HIKI HAPA NDIO KILICHOIPONZA AZAM DHIDI YA YANGA KABLA YA HATA MSIMU KUANZA RASMI….SIMBA WAMEWEKA REKODI HII YA KIBABE MAPEMA TU YANI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “MAYELE ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA AZAM KUPOKEA KIPIGO DHIDI YA YANGA”

  1. Shaibu hemed says:

    Walijua kama tutafeli sasa wanachokiona ni baraaa

Leave a Reply