Habari za Simba SC
Habari za michezo

ROBERTINHO ALALAMIKA HUKU AKIWAPA ONYO YANGA!!! NOMA KWELI

Staff Desk August 11, 2023 4:06 pm

Baada ya jana kufanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Big Stars kwa ushindi wa penati 4-2.

Kocha wa Simba Mbrazil Roberto Oliviera “Robertinho” amesema Changamoto ya Uwanja wa Mkwakwani ndio iliyosababisha washindwe kupata ushindi mapema dhidi ya Singida.

Akizungumza Robertinho amesema;

“Simba inacheza ‘Samba’, tumeshindwa kucheza ‘Samba’ tumepata tabu kidogo kutokana na eneo la kuchezea halikuwa zuri, sio sawa na kule Dar es salaam.”

“Kwenye hiyo mechi ya fainali dhidi ya Yanga (Jumapili) ‘Samba’ itapatikana, tutaingia kwa nidhamu na Simba ni timu kubwa malengo yetu ni kushinda mataji msimu huu.”

MENEJA WA YANGA NAE AJA NA HILI KWENYE MECHI YA SIMBA NA YANGA MCHONGO CHAP HUU HAPA…KAMATA NJIA RAHISI YA KUSHINDA SLOT YA ROULETTE LEO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply