Habari za Yanga
Habari za michezo

JE’ KMC ATAENDELEA KUWA KIBONDE WA YANGA, KAMPENI INAANZA HIVI LEO LIGI KUU

Staff Desk August 23, 2023 2:30 pm

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, Yanga leo inaanza kampeni ya kutetea taji hilo dhidi KMC.

Mchezo huo pekee wa ligi hiyo leo utafanyika uwanja wa Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam.

Takwimu zinaonesha Yanga na KMC zimekutana mara kumi, mabingwa hao watetezi wakishinda mara saba, sare mara mbili na kupoteza mchezo mmoja.

Katika mchezo pekee wa Ligi Kuu uliopigwa Agosti 22, wenyeji Singida Fountain Gate imelazimishwa suluhu na Tanzania Prisons kwenye uwanja wa CCM Liti mjini Singida.

JEMBE LA NABI LAMKOSHA GAMONDI, MWAMBA AREJEA KUNDINI BLACKJACK LIVE NI SLOT YA KIBABE INAYOKUPA UHAKIKA WA MSHIKO KWA KILA DAU….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply