Habari za Yanga SC
Habari za michezo

GAMONDI ACHOSHWA NA MAPUMZIKO HAYA YANGA, AFUNGUKA KILA KITU

Staff Desk August 29, 2023 1:32 pm

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mechi tatu mfululizo walizozipata zimeongeza ufiti kwa mastaa wake huku akilia na mapumziko yaliyo mbele yao kwamba yanashusha morali ya wachezaji.

“Kikosi changu kipo imara sina wasiwasi na mchezo huo nimewaandaa kwaajili ya kushindana na wamekuwa wakifanya kile ninachowaelekeza; Tunahitaji matokeo kwenye kila mchezo ulio mbele yetu.”

“Mapumziko marefu yanaweza kupelekea kuanza upya kutokana na sifa za wachezaji kutokuwa pamoja ndani ya muda kunavyowafanya kujiweka fiti upya. Wachezaji ni kama watoto wasipoelekezwa nini wafanye wanajiachia na kufanya mambo ambayo kisoka ni lazima waanze moja.”

ROBERTINHO ATAKA USHINDANI SIMBA, AFUNGUKA HAYA AKIWA KAMBINI BEKI LA SIMBA LAPAGAWA NA KINA PACOME, MAXI AFUNGUKA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply