GAMONDI SIO KINYONGE AJA NA HILI KIGALI
Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi anasuka kikosi chake kwa ajili ya mechi zijazo ikiwemo ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya El…
Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi anasuka kikosi chake kwa ajili ya mechi zijazo ikiwemo ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya El…
Wawakilishi wa Tanzania Bara Kimataifa Simba SC wanatarajia kuondoka nchini Septemba 14, mwaka huu kuelekea Zambia kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa Klabu ya yanga wanao uwezo wa kuujaza…
Baada ya moja ya Mashabiki wa Yanga SC kuhoji kuhusu kesi za madai pamoja na kufungiwa na FIFA kufanya usajili ambazo zimekuwa zikiiandama klabu yake…
Simba watavaana na Al Ahly ya Misri katika michuano ya African Super League hatua ya nane bora. Bila shaka Simba wanafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa…
Ni rasmi Mnyama Simba SC anaanza kutupa tiketi yake ya kwanza kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya mabingwa wa Zambia Power Dynamos Septemba…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mechi tatu mfululizo walizozipata zimeongeza ufiti kwa mastaa wake huku akilia na mapumziko yaliyo mbele yao kwamba yanashusha…
Ni mchezaji mmoja tu aliyeasisti mara mara mbili ambaye ni beki mpya wa Azam, Cheikh Sidibe aliyefanya hivyo kwenye mechi dhidi ya Kitayosce, huku akifuatiwa…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ana kazi kubwa ya kufanya kutokana na vita kali iliyopo kwenye eneo la kiungo mshambuliaji kati ya Stephane Aziz…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha ya Simba Day litakalofayika keshokutwa Jumapili (Agosti 06), Uwanja…