Habari za michezo
SEPTEMBER 16 SIMBA WANAJAMBO LAO NA POWER DYNAMO…. MAANDALIZI YAPO HIVI
Staff Desk
August 30, 2023
12:05 pm
Ni rasmi Mnyama Simba SC anaanza kutupa tiketi yake ya kwanza kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya mabingwa wa Zambia Power Dynamos Septemba 16, 2023.
Simba wataanzia ugenini kucheza mchezo huo wa kwanza kisha watarejea nchini kucheza mchezo wa marudiano ambapo mshindi wa jumla, atakuwa amekata rasmi tiketi ya kuingia hatua ya Makundi.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kikosi kimerejea kambini kuwawinda Power Dynamos.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.