Home Habari za michezo ISHU YA KRAMO AUBIN KUSUGUA BENCHI IKO HIVI…… SIRI YAFICHUKA

ISHU YA KRAMO AUBIN KUSUGUA BENCHI IKO HIVI…… SIRI YAFICHUKA

Tetesi za usajili wa Simba

Baada ya kuwepo kwa sintofahamu kwa mashabiki wa Simba kuona winga wao fundi Kramo Aubin anasugua benchi pasipo kupata nafasi katika mechi yoyote.

Taarifa za ndani ya Simba zinaeleza kuwa mchezaji huyo amekuwa akiugua ghafla siku chache kabla ya mchezo.

Pamoja na changamoto hiyo, inaelezwa Kramo haimfanyi ashindwe kutimiza majukumu yake anapokuwa mazoezini na amekuwa akionyesha kiwango bora.

Je Kramo anateseka na siasa za soka letu?

SOMA NA HII  SIMBA YAJA NA JAMBO HILI JIPYA SIMBA DAY, SERIKALI YAHUSISHWA