Home Habari za michezo SIMBA MAJANGA, INONGA NAE ASEPA ISHU IKO HIVI

SIMBA MAJANGA, INONGA NAE ASEPA ISHU IKO HIVI

Habari za Simba SC

Beki wa Simba,Henock Inonga amerudi kwao DR Congo baada ya kuumia bega katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida FG kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga hivi karibuni.

Beki wa Simba,Henock Inonga amerudi kwao DR Congo baada ya kuumia bega katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida FG kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga hivi karibuni. Inonga atakaa mda wa wiki mbili huku akijitibu jeraha lake la bega na uongozi umempa mapumziko kwa kipindi chote hicho.

SOMA NA HII  JOB AWACHANA MASTAA YANGA..."ACHENI DHARAU AISEE...ISHU NZIMA IKO HIVI