Habari za Simba
Habari za michezo

KIUNGO MKATA UMEME WA SIMBA ATUA CHINA….DILI LAKE LIKO HIVI…

admin September 3, 2023 7:29 pm

Aliyekuwa Kiungo Wa Simba SC, Gerson Fraga Vieira raia wa Brazil amekamilisha usajili wake na kujiunga katika Klabu ya Tai Po ya nchini China.

Simba ilimsajili Fraga Juni 25, 2019 kwa mkataba wa miaka miwili akitokea ATK ya Ligi Kuu India, akiwa miongoni wa Wabrazili waliosajiliwa msimu huo, akiwamo Tairone Santos na Wilker Henrique.

Brazili huyo aliachwa kwenye dirisha dogo la msimu uliopita baada ya kuwa majeruhi wa muda mrefu tangu alipoumia kwenye mechi kati ya timu yake na Biashara United iliyopigwa Septemba 20, mwaka jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar na Simba kushinda mabao 4-0.

Jereha la goti lilimfanya mabosi wake kumtema na kumsajili Taddeo Lwanga kutoka Uganda ambaye naye kwa sasa ni majeruhi wa muda mrefu, huku ikielezwa kuwa huenda akatemwa jumla kwenye dirisha hili dogo la usajili na Mbrazili huyo kurejeshwa kikosini.

DUNDA NA MSHIKO KUTOKA SLOT YA LAS VEGAS KUPITIA UFALME WA MERIDIANBET… KUELEKEA KLABU BINGWA AFRIKA….MBRAZILI SIMBA AWAANDALIA WAZAMBIA ‘RUNGU LA KIPEPE’..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply