Habari za Simba
Habari za michezo

KWA KIPIGO HIKI CHA SIMBA SASA IMESHAKUWA HATARI

Staff Desk September 9, 2023 11:55 am

Leo asubuhi Kikosi cha Simba SC kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ngome FC na kuibuka na ushindi wa magoli 6-0.

Mabao ya Simba katika mchezo wa leo yamefungwa na Shomari Kapombe, Aubin Kramo, Willy Onana, Chilunda na Jean Baleke aliefunga mabao 2.

Simba ipo kwenye maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.

ISHU YA SIMBA KUSAJILI MAKIPA WENGI YAWEKWA WAZI MASHABIKI WA YANGA HAPO KIGALI SIO POA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply