Habari za Simba
Habari za michezo

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOIFUATA POWER DYNAMO

Staff Desk September 14, 2023 5:35 pm

Simba SC leo Septemba 14, 2023 wamekwea ‘pipa’ kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya kwenda kuanza rasmi safari yao kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika ambapo wanatarajia kukipiga na Power Dynamos Jumamosi Septemba 16, 2023.

Wachezaji walioondoka na kikosi ni kama ifuatavyo;

MAGOLIKIPA: Ally Salim, Hussein Abel na Ayoub Lakred.

MABEKI: Shomari Kapombe, David Kameta, Israel Mwenda, Mohammed Hussein, Hussein Kazi, Henock Inonga, Che Malone na Kennedy Juma.

VIUNGO: Mzamiru Yassin, Sadio Kanoute, Fabrice Ngoma, Hamis Abdallah, Saido Ntibanzokiza, Clatous Chama, Willy Onana, Luis Miquissone na Kibu Denis.

WASHAMBULIAJI: Jean Baleke, Moses Phiri, Shabani Chilunda na John Bocco.Simba

POWER DYNAMO WALIFICHA SILAHA ZAO HAPA KUHUSU SIMBA KARIA:- YANGA WATASHIRIKI AFRICAN FOOTBALL LEAGUE MWAKANI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply