Habari za michezo
KIKOSI CHA SIMBA KIMESHATUA ZAMBIA KIBOSI
Staff Desk
September 15, 2023
6:39 am
Kikosi cha wachezaji na Benchi la Ufundi la Simba Sc Wamewasili Salama nchini Zambia tayari Kwaajili ya Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Mzunguko wa Kwanza dhidi ya Power Dynamos siku ya Jumamosi Majira ya Saa 10:00 Jioni.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.