Habari za Yanga
Habari za michezo

MASHABIKI WA YANGA KIGALI WAPATA ZALI HILI

Staff Desk September 16, 2023 8:40 am

Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amewanunulia tiketi mashabiki waliojitokeza kwenye safari ya Rwanda ambayo inawakutanisha dhidi ya Al Merrikh hapo kesho Septemba 16, 2023 mchezo utakaochezwa majira ya saa 10.

Eng. Hersi ametoa tamko zito kwa wachezaji watakaocheza kwenye mchezo huo huku akiweka mkazo kwenye kujituma na kupambania furaha za mashabiki endapo watashindwa kufanya ivyo dirisha lijalo hatosita kumuondoa mchezaji.

Zaidi ya mashabiki 1,000 wamesafiri pamoja na timu yao ya Yanga kutoka Tanzania mpaka Kigali Rwanda kwa ajili ya mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

TUNACHAPA NJE NDANI….. KISA WAARABU BOSI YANGA AVUNJA BENKI MANGUNGU ATOA KAULI YA KIBABE LEO SIMBA DHIDI YA POWER DYNAMO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply