Home Habari za michezo HATIMAE KRAMO ATIMKA NCHINI

HATIMAE KRAMO ATIMKA NCHINI

Habari za Simba

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Aubin Kramo amerejea nyumbani kwao lvory Coast kwa ajili ya kujiuguza jeraha lake la goti ambalo limekuwa likimsumbua tangu atue klabuni hapo.

Uongozi wa Simba ulipanga kumpa mapunziko ya wiki moja hadi mbili arudi nyumbani kwao kujiuguza na kujiweka sawa baada ya kufanyiwa vipimo vya MRI.

Kramo amesharejea nyumbani kwao ambapo atakaa kwa wiki mbili kabla ya kurejea nchini kuendelea na majukumu yake klabuni hapo.

SOMA NA HII  MKATABA WA SIMBA NA M-BET WAMTIA JEURI YA MANENO AHMED ALLY...AWAPIGA KIJEMBE CHA MWAKA YANGA....