Habari za michezo
INONGA HALI TETE AKIMBIZWA HOSPITALI
Staff Desk
September 21, 2023
5:47 pm
Beki kisiki wa Simba SC, Henock Inonga amejikuta akikimbizwa hospitali baada ya kupata majeraha wakati wa mechi dhidi ya Coastal Union inayoendelea leo Septemba 21 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar.
Inonga alipandishiwa mguu kwa juu na Kapteni Haji Ugando wakati akiwa amepiga mpira na ndipo alipoumia kwenye mguu na mwamuzi kumpa kadi nyekundu Ugando ikiwa ni dakika ya 21 ya mchezo.
Inonga aliondolewa uwanjani hapo na ambulance kuelekea hospitali
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.