Habari za Michezo leo
Habari za michezo

BREAKING NEWS : TANZANIA KUWA MWENYEJI WA AFCON 2027

Staff Desk September 27, 2023 3:49 pm

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2027.

Ni rasmi michuano hiyo itachezwa katika nchi hizo tatu.

IWE JUA IWE MVUA SIMBA AJA NA KAULI NGUMU DHIDI YA POWER DYNAMO JEZI YA MTANZANIA YAUZWA UBELGIJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply