HAJI MANARA AUMBUKA...NI BAADA YA KUMGOMBANISHA RAISI YANGA NA MTANGAZAJI
Habari za michezo

MANARA AIPA UBINGWA YANGA CAFCL……AFUNGUKA HAYA

Staff Desk October 3, 2023 12:38 pm

Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema anaiona Yanga SC ikienda kushinda kikombe cha Klabu Bingwa Afrika msimu huu wa 2023/24.

Manara amesema kuwa amezitazama timu nyingi zilizofuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa na kuona inawezekana kwa Yanga SC kushinda kikombe hicho.

“Yanga SC wana uwezo wa kuchukua hiki kikombe, wana timu imara ya kishindani katika kila idara, hivyo inawezekana kabisa wakachukua kikombe.

“Kama hawajawa mabingwa wajitahidi kufika hata hatua ya nusu fainali, lakini robo fainali ni hatua ambayo Simba SC huwa wanafika,“ amesema Haji Manara.

YANGA YA GAMONDI SASA MBELE YA SIMBA CAFCL MAMBO YANAKWENDAJE YANGA HII YA GAMONDI, KIKOSI HIKI HAPA KWAAJILI YA IHEFU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply