Habari za michezo

MAMBO YANAKWENDAJE YANGA HII YA GAMONDI, KIKOSI HIKI HAPA KWAAJILI YA IHEFU

Staff Desk October 3, 2023 12:43 pm

Jana usiku Klabu ya Yanga sc ‘Wananchi’ walifika salama jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao unatarajiwa kupigwa Oktoba 04, 2023 dhidi ya Ihefu Fc.

Yanga wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa msimu uliopita ambapo Unbeaten za wananchi ziliishia pale Highland Estate Mbarali.

Vipi msimu huu mambo yatakwendaje kwa Yanga hii ya Gamondi?

MANARA AIPA UBINGWA YANGA CAFCL……AFUNGUKA HAYA UNAAMBIWA YANGA KAMA IMEFUATA NJIA ZA AL HILAL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply