Habari za Yanga
Habari za michezo

MAXI NZEGELI KWA YANGA SASA HIVI NI ZAIDI YA SHUJAA

Staff Desk October 3, 2023 9:09 am

Kama kuna mchezaji ambae sijamaliza kumzungumzia kwa sasa basi ni kiungo wa Yanga Max Nzengeli.

Yashasemwa mengi kuhusu huyu jamaa ila Max anateleza vizuri na mpira (gliding) kuwatoka mabeki nyie!

Iwe ni kwenye kimsitu cha wachezaji (akicheza 1,2 wakati mwingine), au hata akimtambuka mtu mmoja kwenye 1v1 yani yuko smooth sana!!!

Kama anateleza kwenye barafu hivi. Agility (wepesi wake wa mwili) na balansi yake akiwa na mpira ni kubwa sana.

Ni miongoni mwa wachezaji wepesi kama sio mwepesi zaidi kwenye kikosi cha Yanga kwa sasa.

Hatua ya Makundi waliyoingia Yanga ana mchango wake mkubwa sana.

GAMONDI : NASHUSHA CHUMA KIPYA, MZIZE ATOA SIRI YA MSENEGO KWA 1000/= UNAUHAKIKA WA KUBEBA MPAKA MIL 200 ZA JACKPOT YA MERIDIANBET…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply